Leteipa The King – Kwetu ni Loitokitok ft Muna party lyrics
#INTRO
Fred Ozzo entertainment
Muna party Vampk
Brown City under mount Kilimanjaro
#VERSE
Ni zaidi ya Sherehe Loitokitok ilivyonilea
nakumbuka nyare nikienda kuogelea
kudish kwa kamale nikipata za kuotea
alafu mi na Bore Gatuthu tunamchezea
So hata nikiwa far natamani kuwa kwetu
juu hakuna penye Raha zaidi yetu
Tena hakuna njaa kilimo ndo kazi yetu
mpaka wasambaa wanaotea kutwa zetu
pia imekuza watu wa maana
salute kwake Musa mshauri wa vijana
aliyetufunza maisha nikung'ang'ana
na Cha mtu ukigusa utapatwa na laana
truly najivunia maumbile ya Nyumbani
miti na wanyama na vyote viliyvondani
ni sehemu yenye baraka na Tena inavutia
na ipo kwenye mpaka wa Kenya na tanzania
#CHORUS
I always look so pretty
juu kwetu ni Ltk
ukipenda the brown City
kila kitu ni TIK
amani , Na upendo
mazingira yakuvutia
we sing like
(iyaiyooh aaah iyaiyooh)
(iyaiyooh aaah iyaiyooh)
(iyaiyooh aaah iyaiyooh)
(iyaiyooh aaah iyaiyooh)
#VERSE
asubuhi nikiamka, ni ero sobha
navalia shuka nadungia nkamoka
nachukua rungu, mbio machungani
kijana wa Sasa mpenda maisha ya zamani
Sato pekee ndo mi hutokea
Ili wangu mabeshte nipate kuwagotea
Hali za siku mingi kujuliana
tukipiga hadidhi na kuchekeshana
all I can say is that kwetu ni kwa kisure
maana everyday ya God watu hukuka tour
wanapenda shangashanga na traditional mingaro
nakuipiga picha mlima Kilimanjaro
baada ya kutalii hawawezi kusahau
huwa wanakumbuka wanapokuwa wako
na ni wazi akili na roho zao husema
hiyo place ni poa , lazima turudi tena
#CHORUS
I always look so pretty
juu kwetu ni Ltk
ukipenda the brown City
kila kitu ni TIK
amani , Na upendo
mazingira yakuvutia
#VERSE
all people from far mnaoniskiza
My brother my sister
mzungu mwafrika
ukifeel unataka kuburudika
bila kukawia Masai land fika
ni home of stars utadhani laleague
patana na Vampk akunase kwa kuimba
Mamboleo na mashairi ya kuburudisha
and I kwakuchana ninafunika
#BRIDGE
Njooni sote kwa pamoja
Nyumbani niwapeleke
tutakuta, mamorani
wako hapo kangeleshe
upewe supu
ukunywe na pembe
tupoge story tukisubiri
kakichwa kaive
#CHORUS
(iyaiyooh aaah iyaiyooh) Ltk to Kimana
(iyaiyooh aaah iyaiyooh) Illasit to Nkama
(iyaiyooh aaah iyaiyooh) Base ya base to Kimana
(iyaiyooh aaah iyaiyooh)
Top Leteipa The King songs
- Mi amor
- Born perfect
- Ngarambe ft Pop Karly
- Cute gal
- Kwetu ni Loitokitok ft Muna party
- Together
- Nane ondoa Moja (8-1) ft Bonnie winsome
- Tenga
- Mwambie
- Ndoto ya mchana
- Looser ft Muna Party
- Nipende mimi
- Happy birthday
- Kizero
- Waridi